Forget about OGwhatsapp kwa ujio wa WhatsFapp

Forget about OGwhatsapp kwa ujio wa WhatsFapp

Tujisahihishe Tz

Platinum Member
Joined
Nov 17, 2011
Posts
3,061
Reaction score
1,367
Kama ulipata msongo wa mawazo baada ya ogwhatsapp kuwa ya developer kushindwa kuendelea kufanya mautundu yao, kaja tena huyu app anaitwa whatsFapp anakuwezesha kutumia namba tatu za whatsapp kwenye simu moja, cha kufanya download kupitia google "whatsFapp apk" baada ya hapo backup conversation yako kwa official whatsapp then uninstall na install hiyo WhatsFapp

Enjoy namba ya kwanza

Kwa namba ya pili fanya kama ulivyofanya hapo juu download official whatsapp ingiza namba ingine chat na mtu mmoja au zaidi kisha backup data na uninstall na kisha download tena upya huyo jamaa WhatsFapp install na restore data zako

Enjoy namba ya pili

Kwa namba ya tatu malizia kwa kudownload official whatsapp na weka namba yako

Cheers
 
nmeanza kuitumia version 1.05 tangu juz,,,ila ila bugs nyingi,,,
kweny kuadd # hakuna tatzo,,,namba zote 3 znafanya kaz frsh 2..
 
kama ulipata msongo wa mawazo baada ya ogwhatsapp kuwa ya developer kushindwa kuendele kufanya mautundu yao, kaja tena huyu app anitwa whatsFapp anakuwezesha kutumia namba tatu za whatsapp kwenye simu moja, cha kufanya downloada kupitia google "whatsFapp apk" baada ya hapo backup vonversation yako kwa official whatsapp then uninstall na install hiyo WhatsFapp

enjoy namaba ya kwanza


kwa namba ya pili fanya kama ulivyofanya hapo juu download official whatsapp ingiza namba ingine chat na mtu mmoja au zaidi kisha backup data na uninstall na kisha download tena upya huyo jamaa WhatsFapp install na restore data zako

enjoy namba ya pili


kwa namba ya tatu malizia kwa kudownload official whatsapp na weka namba yako



cheers
naomba nkurekebishe kidogo mkuu,,,hauna haja ya ku-unstall offcial whatsapp just clear data,,,
baad ya kufanya backup ingia kweny settng>>apps>>whatsapp then clear data,,,
 
naomba nkurekebishe kidogo mkuu,,,hauna haja ya ku-unstall offcial whatsapp just clear data,,,
baad ya kufanya backup ingia kweny settng>>apps>>whatsapp then clear data,,,

Then hii kuchukua muda mrefu hua inasababishwa na nn
 

Attachments

  • 1430662502178.jpg
    1430662502178.jpg
    27.8 KB · Views: 321
Back
Top Bottom