Can TCRA/Airtel trace me if I change line but use same phone?

Can TCRA/Airtel trace me if I change line but use same phone?

Michael Ngusa

JF-Expert Member
Joined
Aug 4, 2014
Posts
1,637
Reaction score
463
Nataka tu kufahamu kama mtu akibadili laini, je TCRA au mtandao wa simu kama Vodacom, Tigo, Airtel wanaweza kujua location yako...I mean umenunua laini mpya na ukasajili jina tofauti lakini simu unayotumia ni ile ile.
 
Wanajua kaka. Kwakitumia EMEI ya simu yako unaweza kupatikana kwa mahala ulipo.Mfano TCRA waki query from any carrier network namaanisha wakiomba taarifa za emei wataiona handset yako na line mpya.
 
Wanajua kaka. Kwakitumia EMEI ya simu yako unaweza kupatikana kwa mahala ulipo.Mfano TCRA waki query from any carrier network namaanisha wakiomba taarifa za emei wataiona handset yako na line mpya.

Mkuu ni IMEI sio EMEI, mtoa mada nenda kagoogle kitu kinaitwa EIR na hiyo IMEI ndo utajua kama watajua au la, bahati mbaya au nzuri makampuni yetu mengi ya simu hayana hiyo EIR ambayo inaweza kutambua IMEI ya kila simu labda kwa sababu ya kukosekana hiyo EIR wanaweza wasijue lakini kama kampuni yako ya simu inayo hiyo package you cannot hide from the Network. EIR kirefu chake ni Equipment Identity Register na IMEI kirefu chake ni International Mobile Equipment Identity.
 
Hata bila kuwa na hiyo EIR bado wanaweza kufahamu. Calls zote zinarekodiwa ikiwemo hiyo IMEI na location
 
Nataka tu kufahamu kama mtu akibadili laini, je TCRA au mtandao wa simu kama Vodacom, Tigo, Airtel wanaweza kujua location yako...I mean umenunua laini mpya na ukasajili jina tofauti lakini simu unayotumia ni ile ile.

NDIYO, kama unahitaji simu yenye kubadili IMEI kila unapoweka line sema.
 
Ila unaweza change IMEI nd ujanja wao ukawa umeishaaa
 
Yes!
Reason:
Kila simu ina Number ambayo ni Unique na Hiyo number inaitwa MAC Adress so huwa inahifadhiwa kwenye database zao makampuni ya simu.
 
Back
Top Bottom