Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Kwa wataalam wa Excel naomba mnisaidie formula ya kutafuta GPA kwenye Excel kwa masomo 7
0 Reactions
4 Replies
8K Views
Habari za mchana huu wWanajamvi. Nakuja kwenu kuomba msaada wa kujua namna na software(nzuri) ya kurecover data endapo HDD imefutwa partitions wakati wa kuweka OS mpya. Nitashukuru kwa msaada wenu.
0 Reactions
3 Replies
758 Views
COMPUTER REPAIR AND MAINTENANCE-MOSHI, ARUSHA. SERVICES PROVIDED - LAPTOP REPAIR- TUNA REPAIR LAPTOPS ZENYE HARDWARE PROBLEMS ie power, display problems etc. -MOTHERBOARD REPAIR-Tunafanya...
0 Reactions
0 Replies
624 Views
hiv ni camera gan ya ku download ambayo iko vizur zaid kwenye picha?
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Somo tajwa hapo juu lahusika...plz
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Wadau naomba msaada kwa wenye ufahamu mimi natumia window 8 + samsung note 3 lakini na shida moja kila napo chagua file 10 kutuma kwenye computer inanitaka ni click kila file linapokuwa limeenda...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Wakuu habari zenu,nahitaji simu ya lenovo P780 so ningeomba nijulishwe duka linalouza pamoja na bei yake. Nawasilisha
0 Reactions
0 Replies
847 Views
wakuu nauliza kwa mwenye ufaham kuhusu hizi patch zinazotolewa kwa ajili ya ku-edit pes 13, pes 14, pes 15 je hutengenezwa na watengenezaji wa game husika au na wadau tu?
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habarini ndugu zangu...Ninatumia laptop aina ya TOSHIBA SATELLITE C850..ilikuwa ipo perfect hadi siku moja nilipoamua kubalisha windows(Niliweka 7 Ultimate kureplace Win 7 Prof)..tatizo...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Habar wadau!! Hivi haya magazeti yanayotoka daily km MAJIRA wanatumia technology gan kuandika zle habar?? Coz unakuta tukio limetokea saa 3 ucku but asubuh unakuta habar ipo gazetn,, hv...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Nikipiga simu kupitia line ya voda inaniandikia ussd code running...huku ikiita,hapo siwezi kukata kama nabeep...nini tatizo ,natumia huawei nimeangalia kwenye setting kila kitu kipo...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
479 mordem yangu ya huawei e 303 sio (hilink) inaniletea hii error Wrong codes entered : 10 (unlock attempts left : 0) kila ninapotaka kui unlock itumie mitandao yote..hii ni TIGO kwa sasa ila...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Wakuu nilinunua simu kupitia amazon mwezi march 2015. Bahati mbaya haikufika. Alituma kama kama priority mail letter. Ameomba nichague mambo mawili: Refund au anitumie simu nyingine. Mimi nataka...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Nina modem ya alcatel X230E ya airtel ambayo ipo locked. Nilikuwa nahitaji ku-unlock. IMEI ni 867612003915398 Mwenye Idea anakaribishwa."Thanks In Advance"
0 Reactions
34 Replies
14K Views
anaejua bei za I phone 6 plus naomba aniambie hapa wadau.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Katika kufanya tathmini ni king'amzi gani ambacho naweza kutazama bure televisheni za ndani (Local Channels) nimegundua kuwa ni StarTimes. Baadhi ya wadau wanadai ndo king'amuzi pekee ambacho...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
New research published by the African Governance and Development Institute shows that piracy increases literacy and the spread of knowledge. The researchers warn against the adoption of strict...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari wadau.. Nahitaji power bank kwa ajili ya simu ..naomba mwenye info type ipi nzuri..price tag...specifications na wapi naweza ipata dar (duka)..anisaidie. Many thanks.
0 Reactions
2 Replies
694 Views
Naomba mwenye kujua ilipo lg service centre in dar anielekeze.. Barikiwa!
0 Reactions
0 Replies
4K Views
Nina huawei y300 kila nkitaka ku-install Apps kutoa play store inaniambia space ndogo wakat kuna zaid ya mb 140 internal na zaid ya 180 kweny sd sasa cjui tatzo!
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…