Power bank heavily needed..

Power bank heavily needed..

Mwaikibaki

JF-Expert Member
Joined
Mar 19, 2015
Posts
3,047
Reaction score
3,786
Habari wadau..
Nahitaji power bank kwa ajili ya simu ..naomba mwenye info type ipi nzuri..price tag...specifications na wapi naweza ipata dar (duka)..anisaidie.
Many thanks.
 
Nenda kariakoo round about, kuna maduka kibao yanaouza hiyo Bidhaa na ukiwa na 40,000 utapata power bank yenye uwezo wa mAh 20,000. Na hiyo inatosha kabisa kwa matumizi ya smartphone
 
Asante mkuu...kama waweza recomend duka mojawapo pls Jay
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom