Hii laptop ni shida

Hii laptop ni shida

Ugiligili

JF-Expert Member
Joined
Jun 20, 2014
Posts
3,023
Reaction score
4,072
Habarini ndugu zangu...Ninatumia laptop aina ya TOSHIBA SATELLITE C850..ilikuwa ipo perfect hadi siku moja nilipoamua kubalisha windows(Niliweka 7 Ultimate kureplace Win 7 Prof)..tatizo lililotokea ni sauti haisikiki vizuri nikichomeka earphones/External speakers...nimejaribu kila njia kusolve lakini wapi...nimebadili windows zaida ya mara 5 ili isaidie lakini hamna kitu...naomba mwenye uelewa anisaidie,..sasa hv narun windows 8.1...Asanteni
 
Samahani nitajibu kwa kingereza. Anytime you install new OS in any computer. Remember the greatest thing. DRIVERS!! Cz your formating the machines that means you'll loose most if not all of the drivers. So make sure you go and download all drivers needed for the PC. Go to Toshiba's website, find audio drivers then download the latest ones. If the problem is still there then it might be a hardware issue. But I'd bet on drivers.
 
Mkuu hiyo uza fasta maana hata ukiweka Drivers bado kitu kita kuwa hivyo hivyo na zaidi tena uki ingia katika web ya Toshiba ukiweka model ya Pc yako utashangaa kuambiwa kuwa haipo..!!!
........Have a nice selling.....
 
Sauti haisikiki kabisa au inatoa sauti mbaya?
 
Habarini ndugu zangu...Ninatumia laptop aina ya TOSHIBA SATELLITE C850..ilikuwa ipo perfect hadi siku moja nilipoamua kubalisha windows(Niliweka 7 Ultimate kureplace Win 7 Prof)..tatizo lililotokea ni sauti haisikiki vizuri nikichomeka earphones/External speakers...nimejaribu kila njia kusolve lakini wapi...nimebadili windows zaida ya mara 5 ili isaidie lakini hamna kitu...naomba mwenye uelewa anisaidie,..sasa hv narun windows 8.1...Asanteni

kwenye volume icon kuna red X?
 
Mkuu Pc yangu inatambulika kwenye Official website ya TOSHIBA..I love my laptop..cant sell it so soon...
 
Nimekuelewa mkuu..ila hilo nilishafanya zaidi ya mara moja...niliscan for missing and outdated drives na nikainstall upya ila tatizo bado lipo..Nashukuru kwa mawazo yako mkuu..
 
Msaada tutani....!! Mie nina laptop Dell inspiron 1525 nyuma ukitoa battery inasehemu yakuweka line ya simu, nisaidieni matumizi yake
 
Inatoa sauti mbaya kwenye earphones na External speakers lkn nikitumia hivihivi inatoa sauti vizuri
 
kwenye volume icon kuna red X?

Nope..hakuna hiyo alama na nikitumia kwa speaker zake inapiga kazi fresh...tatzo nikiweka earphones au speaker za nje..
 
Sasa ilo sio tatizo la driver, ingekuwa driver isingetoa sauti kabsa. Tatzo hapo lipo kwenye headphone jack (port)
 
Sure...and thats what I need some help kama unamaujuzi kidogo..
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom