patches za pes zinazotolewa.

patches za pes zinazotolewa.

Joel360

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2013
Posts
986
Reaction score
657
wakuu nauliza kwa mwenye ufaham kuhusu hizi patch zinazotolewa kwa ajili ya ku-edit pes 13, pes 14, pes 15 je hutengenezwa na watengenezaji wa game husika au na wadau tu?
 
wadau tu ila ni mod zilizotolewa kwenye version za mbele

mfano mimi nina pes 6 nafkiri lilitoka 2005 lakini nimeeka patch ya 2015 ambalo lina usajili sawa na pes ya mwaka 2015, wanachofanya wao wana extract sura, jezi, viatu nk then wanaconvert viende magame ya zamani
 
shukran sana
 
Back
Top Bottom