Naomba Kujua Bei ya Nokia Lumia 638

Naomba Kujua Bei ya Nokia Lumia 638

haiwez kuwepo huku maana band zake hazipo compatible(4g) ni kwa ajili ya china na india tu
 
asante kaka,kwa hyo kuna simu nyingine ya nokia yenye 1 gb,wp 8.1(easily upgradable to windows 10) inayokubali kutumika hapa bongo iliyotoka hivi karibuni au mwaka jana?
 
moja lipo kariakoo msimbazi karibo na jengo la simba, jengine mikocheni old bagamoyo road plot 887 karibu na oil pump

Hilo la Msimbazi nimezungukia nikawa nakuta limefungwa, siku moja nikaamua kuulizia nikaambiwa wamehama. Atakaefika Mikocheni atujuze kama simu imefika Bongo.
 
Back
Top Bottom