Msaada jinsi kutuma file kwa mkupuo kwa kutumia bluetooth

Msaada jinsi kutuma file kwa mkupuo kwa kutumia bluetooth

chazymseri

Senior Member
Joined
Oct 28, 2010
Posts
139
Reaction score
28
Wadau naomba msaada kwa wenye ufahamu mimi natumia window 8 + samsung note 3 lakini na shida moja kila napo chagua file 10 kutuma kwenye computer inanitaka ni click kila file linapokuwa limeenda moja moja basi kinatokea kibox kikinitaka niclick tena na tena kila baada ya file inamaana kama ziko file 100 basi uclick mara 100 nime jaribu kubofya bofya kwenye setting za bluetooth bila mafaniko naamini inawezekana kutuma maramoja tu na zote zikaenda pia naamini setting itakuwa ni kwenye computer na sio simu naombeni msaada kwa mwenye ufahamu solution natanguliza shukurani
 
Kwani kuna uwezekano wakutumia wifi kuhamisha file bila kutumia data bundle?
 
Kwani kuna uwezekano wakutumia wifi kuhamisha file bila kutumia data bundle?

Yah hutumii data kaka soma hio thread hapo juu. Wifi ina speed kiasi kwamba unahamisha vitu kama vipo computer moja hutasubiria kabisa
 
chief mkwawa nakushukuru sana sana kwa elimu uliyonipa nimeweza kutranfer file na nirahisi sikutegemea kabisa changa moto inakuja nafikiri nikitaka kuifaidi vizuri niinunue hii application license yake ni kwa mwaka au ni lifetime nashukuru sana mkwawa
 
App zipo nyingi kaka ukiendelea kusoma mbele utaona wadau wengine wamezitaja. Pia kuna jamaa alieka tutorial ya kuhamisha bila kutumia app ila siipati nikisearch nikiipata nitakuekea link hapa
 
Back
Top Bottom