Nikipiga simu kupitia line ya voda inaniandikia ussd code running...huku ikiita,hapo siwezi kukata kama nabeep...nini tatizo ,natumia huawei nimeangalia kwenye setting kila kitu kipo sawa....naombeni mnidadavulie sabb a hii kituj jameni
Asante mkuu nimefanikiwa