Bahati furaha
JF-Expert Member
- Jul 11, 2012
- 3,077
- 1,439
Habari za mchana huu wWanajamvi.
Nakuja kwenu kuomba msaada wa kujua namna na software(nzuri) ya kurecover data endapo HDD imefutwa partitions wakati wa kuweka OS mpya.
Nitashukuru kwa msaada wenu.