Wakuu nilinunua simu kupitia amazon mwezi march 2015. Bahati mbaya haikufika. Alituma kama kama priority mail letter. Ameomba nichague mambo mawili: Refund au anitumie simu nyingine. Mimi nataka refund ila anadai sitarudishiwa shipping cost. Ni sawa tu kwangu. Je inawezekana hela zikarudi kwenye account yangu?
Zinaweza kuchukua muda gani?
Nawasilisha
Zinaweza kuchukua muda gani?
Nawasilisha