Mnyalu Junior
JF-Expert Member
- Oct 25, 2012
- 573
- 200
Katika kufanya tathmini ni king'amzi gani ambacho naweza kutazama bure televisheni za ndani (Local Channels) nimegundua kuwa ni StarTimes. Baadhi ya wadau wanadai ndo king'amuzi pekee ambacho serikali ya Tanzania ina hisa nacho.
Hivi karibuni nilipiga simu StarTimes huduma kwa wateja na kuulizia km ving'amzi vyao vinashika hata huku mikoani na kwenye wilaya hususani zilizo mbali na manispaa AKANIJIBU vinashika bila shida.
Lakini juzi nilikuwa manispaa ya mkoa fulani na nikaulizia bei ya king'amzi hicho na kumuuliza iwapo vinashika hata kwenye wilaya zilizo nje na manispaa AKANIJIBU havishiki. Vinashika ndani ya manispaa tu!
Wadau nisaidieni kunijuza kuhusu hili, Je, ni kweli vinashika nje ya manispaa au la?