Msaada kupata Funguo nyingine ya Gari

Msaada kupata Funguo nyingine ya Gari

BwanaX

Senior Member
Joined
Mar 5, 2015
Posts
123
Reaction score
46
Hi guys,
Naomba msaada, juz nikiwa natembea kwa miguu maeneo ya Mwenge Sokoni nimedonndosha funguo ya Gari pamoja na ya ofisi. Mvua ilikuwa inanyesha sana. Je, kuna mtu anayeweza nisaidia namna yakupata funguo nyingine? sina kopi yoyote ndani. ni toyota IST.
Asanteni
 
Nenda kwa wanaochongesha funguo watakuchongeshea mwinginr baada ya kufungua mlango.
 
Kuchongesha funguo ni rahisi sana lakini ni hatari sana
Maana mtu anaweza kuchonga na yakwake ya ziada na akakuacha kama miezi kadhaa then anakuja kuichukua kama yake na ufunguo wake
 
Kama upo dar fika gerezani kwa wachonga funguo watakusaidia bila ya tatizo. Kuna wataalamu wa funguo za magari. Kuna mtu aliniambia ukiwatajia aina ya gari na mwaka wanakutengenezea.
 
Bomoa kitasa cha kuingizia funguo kipeleke kwa wachonga funguo watakuchongea
 
Back
Top Bottom