ONLINE TV...ikoje ikoje.....

ONLINE TV...ikoje ikoje.....

The Boss

JF-Expert Member
Joined
Aug 18, 2009
Posts
49,320
Reaction score
117,675
Wataalam wa jukwaa hili naomba kuelekezwa online tv ikoje ikoje?
halafu kama nina apps nataka watanzania waitumie ikiwezekana wailipie
nafanyaje fanyaje......ningependa kuelekezwa kwa kutumia mifano ya
event ya juzi 'zari all white party' ambapo nimesikia watu wamelipia 3000/thsh kutazama
 
Mtu akitaka kurusha live streaming afanyaje? vifaa vinavyohitajika ni vipi?
gharama kwa TZ ni zipi?
 
Ni lazima kupitia youtube?
na kama nataka ku wacharge watu kwa contents wanalipaje?

si lazima youtube ila kuhost video ni bei ghali sana thats why nimekupa option ya bure kutest.

unawacharge vipi? kama ni hizi payment zetu za mobile pesa nafkiri ni vizuri ukaajiri developer.
 
si lazima youtube ila kuhost video ni bei ghali sana thats why nimekupa option ya bure kutest.

unawacharge vipi? kama ni hizi payment zetu za mobile pesa nafkiri ni vizuri ukaajiri developer.

Naweza mfano ongea vodacom nikawa charge thru mpesa?
but host awe you tube? au nifanyaje?
 
si lazima youtube ila kuhost video ni bei ghali sana thats why nimekupa option ya bure kutest.

unawacharge vipi? kama ni hizi payment zetu za mobile pesa nafkiri ni vizuri ukaajiri developer.

Ukisema very expensive unazungumzia kiasi gani?
mfano event ya siku moja tu iwe live kwa masaa labda sita?
na live apps nikitaka iwekwe playsore unafanyaje?
 
Yaani maswali yako tu ndiyo yananikosha, ukijibiwa hili linazuka lingine, inabidi umpate Technicians uwe naye live streaming // i mean face by face.
 
Yaani maswali yako tu ndiyo yananikosha, ukijibiwa hili linazuka lingine, inabidi umpate Technicians uwe naye live streaming // i mean face by face.

Faida za maswali haya ni wengi pia wajue....ningweza kumuuliza pm....but kwa faida ya wengi namuuliza hapa
 
Sawa lkn kwa ujumla page yako itakuwa yako mwenyewe kwa maswali na majibu ya mtu mmoja, hvo kuna majibu mengine umejijibu mwenyewe ila hukujua kama umejijibu.

Masuala haya Teknoloji yana change daily
sasa wengine ambao ni totally ignorant inabidi tu tuulize ulize hadi turidhike na majibu
 
Ukisema very expensive unazungumzia kiasi gani?
mfano event ya siku moja tu iwe live kwa masaa labda sita?
na live apps nikitaka iwekwe playsore unafanyaje?

-malipo ya mpesa
kuna api nafkiri inaitwa pesapi wanatumia kufanya hayo malipo itabidi utafute developer afanye integration kwenye hio service yako.

-ili kuweza kufanya integration ya malipo ni vyema ukatengeneza app au web page ili watu waende hapo badala ya youtube. ile video unaiweka private youtube ili mtu aione ni lazima atumie app yako au aingie kwenye webpage yako. tatizo la youtube ni matangazo hivyo unapewa bure huku unaekewa matangazo.

-kuhusu kulipia

tuchukulie unafanya live kwa hd kila lisaa ni around 3gb hivyo kwa masaa 6 ni kama gb18 unless utafanya video ya low quality. hivyo utahitaji internet ya speed kubwa yenye uwezo wa kuhamisha gb 3 kwa lisaa.

then watumiaji wataangalia kwa quality tofauti wapo wataoangalia kwa 720p, 480p, 360p, 240p na 144p hivyo kila wanapoangalia.

***video utakayoupload hio ndio storage
***watu wakiangalia video hio ni bandwitch

hivyo utatakiwa ujue ni watu wangapi wataangalia ili uweze ku estimate bandwitch na kujua ni package gani ya kununua
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom