Mashine za ezeemoney

Mashine za ezeemoney

Ok9

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2013
Posts
4,554
Reaction score
4,171
Mwenye uzoef na hiz mashine za kufanya huduma za kifedha apitie hapa anipe uhakika wa utendaj kaz wake....
 
Zipo vizur sana.. Mimi ni wakala wao wa kuuza machine.. Zipo vizur na kila transaction inakupa risit.... Kwa mawasiliano zaidi,, 0715300088
 
Huduma za luku na tigo pesa zimesitishwa tangu Novemba 2014
 
Zipo vizur sana.. Mimi ni wakala wao wa kuuza machine.. Zipo vizur na kila transaction inakupa risit.... Kwa mawasiliano zaidi,, 0715300088
mkuu kwa kuwa ww n wakala..... Unaweza kutoa info?
 
Nijuavyo mimi,,, luku ilisitiswa kwa sababu ya link ya ifulusi kufungiwa mwaka jana.. Ndio ezeemoney walikua wanachukulia luku kupitia link hiyo... Kwahiyo sasahivi wanastraggle kurudisha luku... Soon itakua poa.. Kuusu tigo hiyo Sijajua nini tatizo.. Lakini management inasema luku ikirudi huduma nyingine nyingi kama,, azam TV. Zuku TV, airtel money, eazypesa, na nyingine zitaongezeka....
 
Tumechoka kusubiri bila tarifa sahihi, huu ni utapeli, simu hawapokei, why!?
 
Nijuavyo mimi,,, luku ilisitiswa kwa sababu ya link ya ifulusi kufungiwa mwaka jana.. Ndio ezeemoney walikua wanachukulia luku kupitia link hiyo... Kwahiyo sasahivi wanastraggle kurudisha luku... Soon itakua poa.. Kuusu tigo hiyo Sijajua nini tatizo.. Lakini management inasema luku ikirudi huduma nyingine nyingi kama,, azam TV. Zuku TV, airtel money, eazypesa, na nyingine zitaongezeka....

Sawa mkuu tunasubiri..... Ni huduma gan na gan inapatikana kwa sasa?
 
Hadi kuikamilisha inahitaj bei gani..... Manunuzi na usajili kama upo(kutoa mtaj wa biashara)
 
Back
Top Bottom