chongchung
JF-Expert Member
- Jun 23, 2013
- 14,744
- 46,091
wakuu heading inajieleza kama kuna fundi mwenye spare za hii mashine aina ya PRINTER CANON MF 4400 tafadhali tuwasiliane 0765 099627
wakuu heading inajieleza kama kuna fundi mwenye spare za hii mashine aina ya PRINTER CANON MF 4400 tafadhali tuwasiliane 0765 099627![]()
Duh! kweli ni issue kubwa kupata spares za hii kitu. santé kwa ushauri mkubwa.Mkubwa kwa hapa bongo, canon printer spares ni issue, yenyewe kupata consumables nitatizo. Hapo ni mpaka nairobi mkuu.
Duh! kweli ni issue kubwa kupata spares za hii kitu. santé kwa ushauri mkubwa.
Dah! kweli umeongea ukweli mtupu halafu hata hili wazo sikuwa nalo, ngoja nicheki na ebay. shukrani mbele.
- Je ni spare gani hasa inayotakiwa?
- Utapata kiurahisi ebay au aliexpress
- Ukiongea na seller akutumie kwa DHL ni ndani ya siku 5 - 7 spare yako itakuwa imekufikia.