Msaada wako ni muhimu

Msaada wako ni muhimu

AgentX

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2015
Posts
1,651
Reaction score
1,700
Wadau naanzisha Uzi huu kwa madhumuni ya kupata msaada. Mini Huawei Y530....nilifanikiwa kui-root... Nikafanikiwa bila wasiwasi..na nikafanikiwa kutumia faida ya Ku root kwa kung'oa bloatware.... ... Nimefurahi kiasi... Lengo ni nyie wadau mnisaidie jinsi ya kupata custom ROM ya Huawei Ascend Y530. Kutoka 4.3(jelly bean ) mpaka KitKat.... .. Nime Google.. Nime bing. Nimezurura sana. Ila naambulia maelezo yasiyoeleweka. Na kuambulia broken link... Nimeingia XDA forum.. Naona Giza.



Ninaomba mnisaidie kwa hili...


S/O kwa Fareal kwa msaada wako . ila nahitaji maelezo zaidi.



WADAU KARIBUNI....... NISAIDIENI KWA HILI
 
Last edited by a moderator:
mkuu, hii simu mpaka sasa kuna custom rom ambayo iko based on CyanogenMod, ila haijakamilika, kama we ni mpekuzi kuna uzi XDA utauona unazungumzia development za hii simu,

ambacho kipo ni custom roms ambazo ni clockworkmod backups based on ile default emui rom ambayo inakuja na simu...

mfano kwenye hizi cwm rom, inakuwa ni ile default rom ila imeondolewa launcher ya huawei na inawekewa rom ingine, pia apps za google zinaondolewa inabaki playstore, pia inaongezewa uwezo wa livewallpapers, na vitu vingine, uzuri wake izi uwa ni light sana. so utasave space yako nyingi
 
kaka nimecheki sjaona ambayo ipo stable. watu wameweza kuboot cm11 ila haijawa tayari kwa matumizi ya kila siku
 
Wadau naanzisha Uzi huu kwa madhumuni ya kupata msaada. Mini Huawei Y530....nilifanikiwa kui-root... Nikafanikiwa bila wasiwasi..na nikafanikiwa kutumia faida ya Ku root kwa kung'oa bloatware.... ... Nimefurahi kiasi... Lengo ni nyie wadau mnisaidie jinsi ya kupata custom ROM ya Huawei Ascend Y530. Kutoka 4.3(jelly bean ) mpaka KitKat.... .. Nime Google.. Nime bing. Nimezurura sana. Ila naambulia maelezo yasiyoeleweka. Na kuambulia broken link... Nimeingia XDA forum.. Naona Giza.



Ninaomba mnisaidie kwa hili...


S/O kwa Fareal kwa msaada wako . ila nahitaji maelezo zaidi.



WADAU KARIBUNI....... NISAIDIENI KWA HILI

labda uanze na gravity box wakati unasubiria hyo cyanogen.. ukiwa na gravity box utaenjoy baadhi ya features za custom ROM
 
Last edited by a moderator:
labda uanze na gravity box wakati unasubiria hyo cyanogen.. ukiwa na gravity box utaenjoy baadhi ya features za custom ROM

Gravity box no msamiati mpya ktk upande wa ulewa wangu. Nahitaji maelezo zaidi. Na tourtail . bila kujali
 
mkuu, hii simu mpaka sasa kuna custom rom ambayo iko based on CyanogenMod, ila haijakamilika, kama we ni mpekuzi kuna uzi XDA utauona unazungumzia development za hii simu,

ambacho kipo ni custom roms ambazo ni clockworkmod backups based on ile default emui rom ambayo inakuja na simu...

mfano kwenye hizi cwm rom, inakuwa ni ile default rom ila imeondolewa launcher ya huawei na inawekewa rom ingine, pia apps za google zinaondolewa inabaki playstore, pia inaongezewa uwezo wa livewallpapers, na vitu vingine, uzuri wake izi uwa ni light sana. so utasave space yako nyingi

Huo Uzi wa XDA Nimeuona ila nikasema naona Giza.... Ni Uzi mrefu sana......

Kuhusu CM nieleze kidogo hapo..... Nimeipenda hiyo...I hope Niki apply hiyo space internally... Itakua ina 3-2 GB.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom