Naomba kujua bei

Raaj

JF-Expert Member
Feb 10, 2013
205
29
habari ndugu wana jf naomba kujua bei za portable laptops za kampuni ya acer,hp na samsung
THANKS IN ADVANCE
 
sijui niitaje lakini ni zile zinakua small in physical size

Ww unataka mini pc za accer?
Bei znatofautiana kutokana na Qulification zake.
Hapo na maani Ukubwa wa hard disc,RAM,processer . Nakushaur kama huna ujuz nayo mtafute mtu wako wa karb mwenye ujuz na haya mambo ukienda dukan uende nae
 
sina rafiki mwenye ujuzi na mambo hayo ndugu ndo maana naomba nijue range ya bei za min laptops ili nikienda dukani nisiibiwe thanks
 
nahitaji yenye 2gb Ram na 500gb hdd bland new ni sh ngapi?

Vyema ukaingia mtaa kucheki kwenye maduka ujue ipi itakufaa, bei niliyokupa ni roughly,kama uko dar pale millennium bizness park ubungo, town mtaa kaluta mtaa wa zanaki, morogoro rd ,mt jamhuri ama kariakoo Uhuru street kuna maduka mengi tu unaweza kufanikiwa.
 
nipo kigoma nauliza bei ili niagize kutokea huko dar
 
laki 4 average, ila sikushauri kuchukua mini laptop kama huelewi unachofanya, nyingi zao zinatumia processor za atom ambazo zipo slow balaa, utakuja kushindwa hata kuangalia movie za hd
 
mkuu Chief asante kwa ushauri mimi nina laki nne tu kuna jamaa alinambia kwa bei hiyo siwezi kupata laptop labda min,naomba unielekeze jinsi ya kujua min laptop zinazotumia processor za atom na je naweza kupata laptop kwa bei hiyo?
 
Yap unapata kwa bei hio lakini most of them ni atom. Atleast celeron kidogo itafanya kazi zako.

Kuijua just nenda my computer halafu right click then properties
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom