Mwandwanga
JF-Expert Member
- Dec 2, 2011
- 3,057
- 1,573
Nimeinstall WhatsApp+ Reborn, kila step nimemaliza but nashindwa kutuma wala kupokea ujumbe.
Nimejaribu kuomba nitumiwe text, kwa mtumaji inaonekana text imenifikia lakini kwangu nashindwa ziaccess.
Pamoja na kushindwa kutuma na kupokea ujumbe, icon ya WhatsApp inaonyesha nina Sms. (Nimeambatanisha screenshot)
Naombeni Msaada naweza tatua vipi hili jambo.
Ahsanteni