Error: "USB NOT RECOGNIZED" kwenye PC Naomba msaada

Error: "USB NOT RECOGNIZED" kwenye PC Naomba msaada

Son.j

JF-Expert Member
Joined
Jan 10, 2013
Posts
1,030
Reaction score
2,450
PC yangu niki connect na usb au card reader ina niambia "USB NOT RECOGNIZED"

naomben msaada nifanyaje?
 
pc yangu niki connect na usb au card reader ina niambia "USB NOT RECOGNIZED" naomben msaada nifanyaje?


Ni uki connect chochote? Au ni hiyo usb moja? Vipi kuhusu flash disc au modem?
 
Mwanzoni ilikuwa inakata usb tethering kwa simu lkn modem inakubali, ila sasa zote zimebuma.
 
Sijui jinsi ya kuangalia drivers.
 
Back
Top Bottom