SHIEKA
JF-Expert Member
- Dec 20, 2011
- 8,240
- 4,280
Waungwana wa jukwaa hili, Hamjambo wote?
Nionavyo, jiji la dar linahitaji mapinduzi makubwa ya kiteknolojia kwenye eneo la usafiri wa barabarani. Watu wa dar wataishi na foleni mpaka lini?
Tunafahamu sana kwamba foleni zinaangamiza uchumi, maisha ya familia, afya za watumia barabara nk. Madhara ya foleni huenda yangepungua sana iwapo mwenye gari/daladala/ usafiri angefahamu ni njia ipi salama ya kupita isiyokuwa na foleni kubwa.
Ufahamu ungewezekana kama pangekuwepo na ka-application fulani kwenye simu kanakokuonesha ni route gani kuanzia hapo ulipo inayofaa kupita.
Kuna mdau alikuja hapa na wazo hilo HAPA ila sijui kama alifanikiwa. Kusema kweli application ya aina hiyo ni muhimu sana kwa dar es salaam.
Je, wataalamu wenye uwezo wa kuunda app itakayoitwa 'Nmlioko hapa JF, mmeshaliwazia jambo hili?