Tatizo la Samsung S2 kupata joto, Naomba msaada

Kontelo

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2013
Posts
571
Reaction score
161
Habari zenu wanajamvi,

Natumia simu aina tajwa hapo juu lakini tatizo lake ni kupata joto wakati inatumika kuongea na mtu kwa simu mda mrefu, kuchat message au kama kutumia internet au hata kujizima yenyewe unapocheza game joto likiwa kali.

Nimejaribu kufatilia kwenye settings kila kitu kiko sawa, kuna mtu alinambia nijaribu kuset auto data internet akihisi labda nimeset 3G data only.

Tatizo litakuwa ni nini maana km ni battery nimenunua mpya wiki iliyopita. Naomba msaada wenu.

Cc mwlRCT,
 
flash kernel mkuu ..na recommend speedmod kernel itakufaa kwa hlo tatizo lako.
 
Mkuu simu yangu ni H 6 nayo inapata moto hadi inaandika toa betri, nineset 3G only vp kwan ni tatizo
 
am not good kwenye tecno ..jaribu greenify itakusadia Ku limit background apps .Hii inahtaji root acces kweny Simu yako.
 
Back
Top Bottom