hivi ni kwanini wakati mwingine unapokua unatumia simu hizi smartphone unakuta mtandao haupatikani na mwenye simu ya kawaida unakuta unapatikana na mko sehemu moja nikwanini!
3g vs 2g
Unakuta simu ndogo inatumia 2g (gprs) ambayo ina signal zenye nguvu wakati smartphone yako inatumia 3g ambayo signal zake hazina nguvu hivyo kupelekea kupata network kwenye simu ndogo.
Band za simu
Smartphone za kichina huja na band moja au mbili 1900/2100mhz
Simu ndogo inawezekana sio ya kichina na ina band nyingi hivyo kuna wakati mtandao unakuwa unasumbua band nyengine zinakuwa hazifanyi kazi, kisimu hiki kidogo kitapata network na smartphone haitapata.
Sababu nyengine ndogo ni kama hio smartphone ni ya alluminium hivyo inapata shida kupata signal
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.