KAKA YAKO NAPITA
JF-Expert Member
- May 16, 2014
- 1,322
- 233
Window7 is not guinuine,nahitaj msaada wakuu ni jinsi gan naweza kuifanya ikawa guinuine.
Ni laptop au desktop? Hebu ikague nyuma, mbele pembeni hakuna sticker yenye key?
ni desktop mkuu,nikague hii desktop? mbna hakuna mkuu
shukrani mkuu,bda ya hapo hyo issue haitojirudia tena au ndiyo ile ya kufanya hvo kila bda ya mwezi
Hii program inafanya mambo mawili.
1.kureset trial
2. Kuactivate
Hivyo we iache ifanye mambo yote mawili. Hio ni xtream edition ni powerfull kuliko loader ya kawaida.
Kujua kama ipo activated au la nenda my computer angalia kwa chini kama ni genuine au inaandika 30days left