Salam kwenu mandugu,nina laptop yangu huwa nikidownload document inakubali,lakini nikidownload video huwa hainiletei window ya kusave au kuwatch later..nilimtafuta it flani akaniwekea IBM lakini ikakataa baada ya mwezi mmoja..naombeni mnisaidie jinsi ya kutatua hili tatizo.