Computer yangu inatumia kaspensky untivirus ambayo naona kama vile haifanyi vizuri. Nimebakiza siku kumi tu kufikia expire date.
Naomba ushauri ni antivirus ipi nzuri ya kununua kwa sasa ambayo...
Nimekuwa mhanga wa OGwhatsapp tangu ile version ya mwanzo ilopo expire, niliendelea kuitumia huku nikirudisha tarehe nyuma baadaye nkafuta ile ni update cranked app kama io nimedownload fresh na...
Modem huawei e1550 ndani ukifungua software yake inasoma vodacom lakini hapo haina laini, nje imechapwa logo ya zain ukiweka tigo inakataa sasa modem hii ni voda au zain imeunlockiwa au la?
Wadau kuna rafiki yangu ana simu yake huawei y300 kila akidownload video akishamaliza na akijaribu kuifungua inagoma kuplay naombeni msaada ili niweze kumsaidia.
Habari zenu tech guruz, tupeane changamoto kuhusu hizi custom roms. Ni CR gan ipo stable na katika simu ipi sababu baadh ya sim mfano huawei y300 baadh ya custom rom znasababisha kuji restart kila...
habari wakuu,
ofisin kwangu kuna watu waliiba computer na kwenda kufuta kila kitu,sasa kuna baadhi ya watu wa IT wameweza kurudisha baadhi ya documents lkn kuna baadhi hazifunguki na hawajarudisha...
Wasalaam,
Natafuta treka jipya. Je, niangalie vigezo gani kupata trekta linalofaa kwa kilimo kikubwa?
Nimepitia Massey Fagarson na New Holland. Nataka kujua varieties na ubora ili niwe na wide...
Habari zenu wakuu!!
kabla sinaenda kwenye mada husika, ninatunguliza swali langu, nime-update operamini yangu ya zamani na sasa ninaitumia mpya. shida inakuja pale ambapo ninashindwa ku-save...
Habari ndugu wana jf poleni kwa usumbufu wangu wa kuomba msaada kila siku lakini ntafanya nini wakati sina ninachojua?
TATIZO LANGU NI KWAMBA NILIKUA NA PICHA KWENYE MEMORY CARD AMBAZO NI...
Wadau naombeni msaada kama ni kawaida jambo hili kutokea. Gari yangu kila nikiwasha AC inasababisha ukungu/unyevunyevu mkubwa kioo cha mbele hali inayonilazimi kufuta kwa waipa mara kwa mara.
Je...
For all of your questions relating to the android mobile phones
Mwenye idea yoyote anaweza weka elimu yake hapa na mwenye swali anaweza uliza hapa na atajibiwa na mtu yoyote sio lazima niwe...
InnJoo Fire is the latest birth by InnJoo. InnJoo Fire Price and Specifications are abit different from InnJoo Note Pro. Check out the InnJoo Fire Price and Specifications.
InnJoo Fire Price and...
Wakuu, heshima mbele. Naomba ni kujua hili, Nimeanzisha kijimradi cha kuchezesha game hizi zinazopendwa na watoto mtaani.Ninatumia screen mbili,cha ajabu ni kwamba umeme sasa tangu nianzishe...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.