Msaada: Antivirus bora zaidi kwa computer

Msaada: Antivirus bora zaidi kwa computer

The activist

Senior Member
Joined
Aug 9, 2014
Posts
113
Reaction score
67
Computer yangu inatumia kaspensky untivirus ambayo naona kama vile haifanyi vizuri. Nimebakiza siku kumi tu kufikia expire date.
Naomba ushauri ni antivirus ipi nzuri ya kununua kwa sasa ambayo nitafurahia kutumia...
Natanguliza shukrani wakuu!!
 
Unaposema haifanyi kazi vizuri unamaana gani? PC yako imepata viruses?

Kaspersky ni best antivirus out there
 
Unaposema haifanyi kazi vizuri unamaana gani? PC yako imepata viruses?

Kaspersky ni best antivirus out there

Mkuu ile ku update kila siku nimeona ni kero Fulani hiviii. Itakuwa imepata virus.
Hauna option nyingine zaidi ya kaspersky??
 
Mkuu ile ku update kila siku nimeona ni kero Fulani hiviii. Itakuwa imepata virus.
Hauna option nyingine zaidi ya kaspersky??

Yangu inakuwa updated mara kukiwa na new update lakini sio kila siku. Nilinunua yangu kutoka kwa website yao wenyewe na haina tatizo kabisa

Labda PC yako ina shida nyingine lakini Kaspersky ni best kwangu na hata ukiangalia reviews online za best antivirus out there Kaspersky inaongoza
 
microsoft essential ni bora kuliko zote inakuja na window7 Window 8 microdoft defender hizo kina kerspersky unachosha pc
 
Mkuu ile ku update kila siku nimeona ni kero Fulani hiviii. Itakuwa imepata virus.
Hauna option nyingine zaidi ya kaspersky??

Ku update kila siku ina maana antvirus yako iko active na inajali ulinzi wa pc yako!!! Hamna ant virus ambayo haiji update either manually au automatic!! juu chini KASPERSKY IS THE BEST tena tafuta yenye neno "internet security" !!!
 
Mkuu wengi tumezoea kerspersky na hatujui nyingine. mim nimeshatumia antivirus nyingi ikiwemo kerspersky na microsoft esential bora kerspersky kuliko microsoft essential, na kama umeichoka kerspersky nakushauri uamie smart security 8 ni antivirus nzuri inaweka protection nyingi kwenye pc yako na extra ni ant theft.
 
Kaspersky ni best antivirus out there

Usichanganyikiwe na baadhi ya online reviews, some webs zinakuwa offered ku trend AV's flani.

Japokuwa sijawahi ona website inayodai kwamba Kaspersky ni the best in 2015, rather than KAV 2013 smbayo ilitishia dunia kidogo, ila saizi KAV inashika nafasi kuanzia ya pili.
Lakini antivirus zinazoongoza watumiaji wake ni 10 kati ya 1000 lakini kwasabu wanazipromote then fine.
 
Microsoft Essential security iko poa sana kwa pc yangu.
Na ni free.
Ukii update utaiinjoy sana
 
Mkuu wengi tumezoea kerspersky na hatujui nyingine. mim nimeshatumia antivirus nyingi ikiwemo kerspersky na microsoft esential bora kerspersky kuliko microsoft essential, na kama umeichoka kerspersky nakushauri uamie smart security 8 ni antivirus nzuri inaweka protection nyingi kwenye pc yako na extra ni ant theft.


Microsoft essential imetoka 2009 if ain't mistaken, haiwezi kupambana na baadhi ya old malwares, na wala sio the best Av, ndomana wanaileta pamoja na windows, ushaskia MS office imekuja pamoja na normal windows ?
 
Na kama unataka kununua antivirus usinunue ile ya basic e.g kaspersky antivirus tafuta zile za internet security or premier e.g. Kaspersky internet security maana kama unanunua basic si bora ukachukue zile za free maana hizo basic hazina extra features compared to free
 
Usichanganyikiwe na baadhi ya online reviews, some webs zinakuwa offered ku trend AV's flani.

Japokuwa sijawahi ona website inayodai kwamba Kaspersky ni the best in 2015, rather than KAV 2013 smbayo ilitishia dunia kidogo, ila saizi KAV inashika nafasi kuanzia ya pili.
Lakini antivirus zinazoongoza watumiaji wake ni 10 kati ya 1000 lakini kwasabu wanazipromote then fine.

Unasema ulichosikia Mimi nasema ninachojua. Natumia KAV internet security nilinunua kwa website yao direct sikudownload kiwizi au piracy na iko njema sana kwa matumizi yangu, sioni tatizo lolote la hii antivirus, hainisumbui hata kidogo.

Reviews za watu online zinamatter kuna trusted websites ambazo haziko biased na zinatoa dira nzuri kwa mtu ambae anataka anunue kitu.

Sema best antivirus kwa mtizamo wako
 
Microsoft security essential iko poa ndio natumia mara nyingi sana na wala sinaga wazo la virus coz naiupdate kila mara
 
Computer yangu inatumia kaspensky untivirus ambayo naona kama vile haifanyi vizuri. Nimebakiza siku kumi tu kufikia expire date.
Naomba ushauri ni antivirus ipi nzuri ya kununua kwa sasa ambayo nitafurahia kutumia...
Natanguliza shukrani wakuu!!


Kama hutojali gharama nunua EsetSmart security. Haina restrictions kama Kav. Pia ni nyepesi na haihitaji resources sana
 
Unasema ulichosikia Mimi nasema ninachojua.

Haijawahi tokea nikasema tu ninachokisikia.

Natumia KAV internet security nilinunua kwa website yao direct sikudownload kiwizi au piracy na iko njema sana kwa matumizi yangu, sioni tatizo lolote la hii antivirus, hainisumbui hata kidogo.

Reviews za watu online zinamatter kuna trusted websites ambazo haziko biased na zinatoa dira nzuri kwa mtu ambae anataka anunue kitu.

Sem
a best antivirus kwa mtizamo wako

KAV 2013 ndio the best.
ila natumia Avast IS 2015 + Malwarebyte + Hitman pro. for safe defence/defense against Ransomwares.

Security ni wide range not only single click "scan"
 
Back
Top Bottom