Wale wa Custom Roms tubadilishane ujuzi hapa

ethicx

JF-Expert Member
Apr 4, 2012
311
124
Habari zenu tech guruz, tupeane changamoto kuhusu hizi custom roms. Ni CR gan ipo stable na katika simu ipi sababu baadh ya sim mfano huawei y300 baadh ya custom rom znasababisha kuji restart kila muda. Ila nilipata rom mbili AOSPA na Expert Final(it is very smooth and stable) hizi zote zipo vizur sana.

Baadh ya rom nilizowah kutumia ni
CynogenMod 10/11
Firefox OS
Ubuntu
SlimKat
Simu nilizowahi ku root na kuweka custom rom
Huawei Y300
Galaxy Pocket(my first practical in 2013),S2,S3
HTC ONE X.
Karibuni.
 
Mkuu naomba unisaidie procedures za kuwaeka custom rom kwenye hawei Y300, nilijaribu ikabrick ikaandika 'image signatute verification fail'.

Ikabidi nidownload firmware nyingine nikainstall kutumia sd card ikawaka.

Naomba unajuze labda tatizo lilikuwa nini mpaka ikaandika hivyo?
 
Wizzedkat ROM kwa ajili ya s2 with some of s4 features + touchwiz launcher
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom