Naomba ushauri: Ni trekta sina gani imara?

Naomba ushauri: Ni trekta sina gani imara?

Jumong S

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2013
Posts
7,450
Reaction score
10,807
Wasalaam,
Natafuta treka jipya. Je, niangalie vigezo gani kupata trekta linalofaa kwa kilimo kikubwa?

Nimepitia Massey Fagarson na New Holland. Nataka kujua varieties na ubora ili niwe na wide choice.

Nitashukuru kwa ushauri wa kitaalamu
 
massey ni nzuri sana,ila hizo unazoziona zinauzwa ni za india,pakistan au brazil.

hiyo new holland ni nzuri sana pamoja na johndeer..

inayofuatia ni farmtrac.

ila nakushauri kati ya new holland au john deer.

na labda nikuulize unataka kulima mazao gani?
 
John-deer Yako poa sanaa hata ma settler wanayatumia ni imara
 
Back
Top Bottom