Msaada: AC ya gari kusababisa ukungu/unyevu kioo cha mbele

mambomoto

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2011
Posts
326
Reaction score
238
Wadau naombeni msaada kama ni kawaida jambo hili kutokea. Gari yangu kila nikiwasha AC inasababisha ukungu/unyevunyevu mkubwa kioo cha mbele hali inayonilazimi kufuta kwa waipa mara kwa mara.

Je kwa mlio na ujuzi wa mambo haya nini tatizo na solution ni ipi.

Asanteni wadau
 
angalia selection ya ventilation windows kabla hujawasha Ac maana kuna inayoruhusu kupitishia hewa miguuni kwenye matundu yaliyo kwenye dashboard yanayoelekeza hewa kwenye kioo ama usoni kwako moja kwa moja
 
Hiyo AC mitego yake imefyatuka inakwenda opposite direction,au pia fanya kama alivyoshauri Zinyalulu ukishidwa kama upo dar nenda kinondoni karibu na makaburini maeneo ya UGO pale huwa kuna mafundi wazuri wa a.c..
 
Ukiwasha ac mkuu weka kwenye deforester
 
angalia selection ya ventilation windows kabla hujawasha Ac maana kuna inayoruhusu kupitishia hewa miguuni kwenye matundu yaliyo kwenye dashboard yanayoelekeza hewa kwenye kioo ama usoni kwako moja kwa moja
Wadau nawashukuru sana kwa michango yenu wote ngoja nijaribu then nitaleta mrejesho.
 
angalia selection ya ventilation windows kabla hujawasha Ac maana kuna inayoruhusu kupitishia hewa miguuni kwenye matundu yaliyo kwenye dashboard yanayoelekeza hewa kwenye kioo ama usoni kwako moja kwa moja

Hivyo achague inayopeleka kwenye matundu ya jirani kabisa na base ya windscreen.
 
Back
Top Bottom