Hivi whatssap plus ina fanya kazi?

Hivi whatssap plus ina fanya kazi?

MT255

JF-Expert Member
Joined
May 3, 2012
Posts
3,728
Reaction score
5,000
Za asubuhi wadau...mimi nauliza whatsaap plus ina fanya kazi?....nataka niitumie nawasilisha
 
Ni app tu as officiall WhatsApp sema iko modified kidogo some of feature zimeongezwa ni kama Ogwhatsapp
 
inapiga mzigo still ila haijakaa sawa kama awali, themes zinazingua kudownload
 
Back
Top Bottom