ladyfurahia
JF-Expert Member
- May 10, 2011
- 14,758
- 9,592
Habarini
Nahitaji msaada jamani, Computer yangu ina tatizo la kutokuwaka, ukiwasha inaleta mistari mingi wala haioneshi kitu nikadhani labda memory ina shida nikanunua memory ingine nikaweka tatizo likawa palepale mpaka sasa nashindwa kufanya kazi vizuri mwenye uelewa wa hii tatizo naomba anisaidie nifanyaje ili irudi kwenye hali yake ya mwanzo.
Nisaidieni nina mafile mengi kwenye hiyo PC, nifanyaje wakuu
Asanteni