Tigo 4G

Tigo 4G

kcamp

JF-Expert Member
Joined
Aug 31, 2014
Posts
8,526
Reaction score
8,033
tigo anataka kuleta 4G hiv ataweza? maan 3G yenyew majanga kwake.
 
Bei za 4G pia sio rahisi afu 4G hata iki drop ukipata 24Mbps maximum sio mbaya sana, hivo 4G yao ikiwa chini ni bora zaidi kuliko 3G ikiwa chini
provided bei zao ziwe poa
 
Naweza ku uninstall kinguser maana nimeroot simu lakini naona bado process sikukamilisha so inanisumbua naomba muongozo wako nini nifanye ili ni enjoy na simu yangu.
Mkuu kinguser ni sawa na ile app ya SuperSU au SuperUser sio?
Hii ukisha root inakua Sytem app sio rahisi kuiondoa mpaka uwe na File explorer ukaifute katika System===>apps

Tofauti na hapo fanya ku unroot simu nahisi itapotea pia
 
Mkuu kinguser ni sawa na ile app ya SuperSU au SuperUser sio?
Hii ukisha root inakua Sytem app sio rahisi kuiondoa mpaka uwe na File explorer ukaifute katika System===>apps

Tofauti na hapo fanya ku unroot simu nahisi itapotea pia

Naomba muongozo namna ya ku unroot mkuu
 
Like rooting unrooting can never be specific for all phones
Lazima u google uone pale ulipopata trick ya ku root kama wameweka na ku unroot

Tatizo nilijaribu toka app mabalmbali ku root sasa sijajua ipi ndo imekubali ingawa sasa naona kinguser ndo ipo kwangu. Lakini nayo naona haijakaa powa bado sasa kama naweza kuitoa nisaidie.
 
Basi ngoja ije tuombe bei sasa.
 
Factors affecting degree of ionisation (i) At normal dilution, value of is nearly 1 for strong electrolytes, while it is very less than 1 for weak electrolytes. (ii) Higher the dielectric constant of a solvent more is its ionising power. Water is the most powerful ionising solvent as its dielectric constant is highest. (iii) Dilution of solution Amount of solvent (iv) Degree of ionisation of an electrolyte in solution increases with rise in temperature. (v) Presence of common ion: The degree of ionisation of an electrolyte decreases in the presence of a strong electrolyte having a common ion.
 
Tayari 4G ilikua launched, tarehe 1 zinaanza kuuzwa line hizo, check uwezo was simu yako www.tigo.co.tz/4G katika 4G
Inshu ya kusua 3G ni minara tuu lakini haimaanishi ndio wasiweke naya 4G, kuna watu wanaenjoy 3G kila siku kwa nini tusiwaongezee experience nyingine
Jaribu Leo na sio kulaumu tuu.
 
Back
Top Bottom