Modem hii nimeishindwa!

Modem hii nimeishindwa!

Sahir Punzy

Member
Joined
Jan 13, 2015
Posts
86
Reaction score
55
Modem huawei e1550 ndani ukifungua software yake inasoma vodacom lakini hapo haina laini, nje imechapwa logo ya zain ukiweka tigo inakataa sasa modem hii ni voda au zain imeunlockiwa au la?
 
Maelezo rahisi
-modem ya zain
-imeflashiwa dashboard ya voda
-haijakuwa unlocked

Hapo inawezekana jamaa alifanya attempt ya ku unlock akaishia njiani akashindwa akaiacha.
 
Modem huawei e1550 ndani ukifungua software yake inasoma vodacom lakini hapo haina laini, nje imechapwa logo ya zain ukiweka tigo inakataa sasa modem hii ni voda au zain imeunlockiwa au la?

Modem haijawa unlocked

Kinachotokea ni kwamba kuna software ya huawei ambayo ipo katika compyuta yako ambayo ulikua unatumia modem ya voda kipindi cha nyuma ndiyo inayo autorun pindi unapoweka modem hiyo ya huawei ya zain sababu ni kampuni moja ya huawei ndo ilitengeneza hizo modem so kuna muingiliano wa software.

Hiyo software tunaiita dashboard unaweza kuitumia hiyo hiyo software na ika connect endapo kama kwenye modem yako umeweka sim card inayotakiwa sababu modem yako haijafunguliwa na sim card yenyewe ni Airtel.

Usiogope mkuu.
 
Modem huawei e1550 ndani ukifungua software yake inasoma vodacom lakini hapo haina laini, nje imechapwa logo ya zain ukiweka tigo inakataa sasa modem hii ni voda au zain imeunlockiwa au la?


Hiyo ni Zain Firmware locked
 
wakuu msaada wa ku/unlock huawei moderm E1550, IMEI 352965048727232
 
Back
Top Bottom