Videos katika huawei y300

Videos katika huawei y300

Kabelwa

JF-Expert Member
Joined
Mar 19, 2015
Posts
684
Reaction score
201
Wadau kuna rafiki yangu ana simu yake huawei y300 kila akidownload video akishamaliza na akijaribu kuifungua inagoma kuplay naombeni msaada ili niweze kumsaidia.
 
Jaribu kutumia mx player inaplay video zote,

Kama still itakataa huwenda akidownload hizo video zinaishia njiani hazikamiliki
 
Nimejaribu mx player lakini zimegoma kuplay
 
Back
Top Bottom