Whatsapp nne kwa simu moja

Whatsapp nne kwa simu moja

Electromagnetism

JF-Expert Member
Joined
Nov 4, 2014
Posts
482
Reaction score
127
Habari wadau tazama hii screen shoot kwa juu apo kwenye notification bar pana icon nne za whatsApp yani zote kwa simu moja na zipo active muda wote namba nne tofauti.

uploadfromtaptalk1434131507798.png

Hii inshu sio free nitafute via Whatsapp Kwa wale mnaotaka namba ya WhatsApp kama hiyo yangu kwa hapa hapa Bongo pia nichekini.

Kama utapenda kupiga simu just check v hii pia iko Whats App kama utapenda karibuni..
 
Mie hii moja yanitosha wenye kuhitaji watakutafuta.
NB nini faida ya kuwa na hizo nne?
 
Nunua simu mbili tu, kama una uhitaji huo.By the way acha kuwapiga watu hizo ishu zimejadliwa humu kama OG n.k
 
Wenye multi-michepukoz itawafaa hii. Lol

Mwandishi, una charge for some free service ?? Electromagnetism
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom