nina iphone 2

nina iphone 2

Kigger

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2015
Posts
884
Reaction score
836
wadau habari hapa nina iphone 2 moja tatizo ni icloud umelock na nyingine tatizo ni netwok haipandi je naweza kupeleka kwa fundi nikafanikiwa kukomboa simu moja
 
IPhone 2 ndio simu gani hiyo.??
 
Ni aina zipi za hiyo iphone ulizonazo? Jibu hilo kabla sijachangia mawazo Mkuu
 
Natumia Tecno y3 toka tigo! Mwenye uzoefu wa kutoa lock ili iweze kutumia mitandao yote tz! Mwenye ujuzi na hili ani PM ni mpe IMEI, then payment
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom