Kama ni factory reset ingia kwenye settings kisha pale juu touch tab ya accounts then scroll down hadi kwenye backup & reset then choose factory data reset.
kama hiyo simu sio yako ukafanya hardreset hautatumia tena maana hizo kama iphone zina reactivation lock kwa hiyo ukifanya hard reset itakudai samsung account
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.