Utapata Package zote za Startimes kulipia 80,000 kwa mwaka

Youngstorch

Member
Joined
Jan 10, 2014
Posts
14
Reaction score
1
Kwa wale wote ambao wanaotumia dikoda yab startimes kwa kutumia antenna au DVB (Dish) utaweza kupata channeli zote ambazo hazipo kwenye dikoda na zingne ambazo zimefungiwa na startimes kwasababu kifurushi cha kimeisha...ilo tatizo halipo tena...Cha kufanya ni uwe na dikoda ya startimes ambayo haina kifurushi chochote na unitumie namba ya smart card yako ya startimes ambazo zipo tarikimu 11 na pia unitumie namba ya dikoda yako ambayo ipo nyuma au chhini ya dikoda yako ya startimes ambazo zipo tarikimu 17..halafu within 5 minutes naku-activate kwenye database yangu channeli zote unaweza kuziangalia mpaka mwaka uishe kwenye dikoda ya startimes...hapo ulipo...kokote ulipo inafunguka...na baada kuziona imefunguka unalipia 80,000 kwa mwaka..Ukikiuka kulipa naku-disconnect kwenye database yangu..

Ni PM
Ahsanteni

:welcome:
 
Attachments

  • 20150614_085342.jpg
    20150614_085342.jpg
    257.3 KB · Views: 266
  • 20150614_085525.jpg
    20150614_085525.jpg
    322.1 KB · Views: 261
  • 20150614_085533.jpg
    20150614_085533.jpg
    193.9 KB · Views: 237
  • 20150614_085550.jpg
    20150614_085550.jpg
    277.4 KB · Views: 240
Hii takataka Startimes nilishaitupa jalalani kitambo sana. Scratch kwenda mbele haifai kabisa.
 
Kwa wale wote ambao wanaotumia dikoda yab startimes kwa kutumia antenna au DVB (Dish) utaweza kupata channeli zote ambazo hazipo kwenye dikoda na zingne ambazo zimefungiwa na startimes kwasababu kifurushi cha kimeisha...ilo tatizo halipo tena...Cha kufanya ni uwe na dikoda ya startimes ambayo haina kifurushi chochote na unitumie namba ya smart card yako ya startimes ambazo zipo tarikimu 11 na pia unitumie namba ya dikoda yako ambayo ipo nyuma au chhini ya dikoda yako ya startimes ambazo zipo tarikimu 17..halafu within 5 minutes naku-activate kwenye database yangu channeli zote unaweza kuziangalia mpaka mwaka uishe kwenye dikoda ya startimes...hapo ulipo...kokote ulipo inafunguka...na baada kuziona imefunguka unalipia 80,000 kwa mwaka..Ukikiuka kulipa naku-disconnect kwenye database yangu..

Ni PM au Skype: eliaminja

Ahsanteni

:welcome:

wewe acha masihara unatoa warranty ya namna gani baada ya mtu kulipa?? Hivi unajua startimes wanafanya UPDATE YA FIRMWARE za Decorder zao ? na kila UPDATE wanayotoa inaFIX bugs fulani fulani. na hata hilo unalolifanya ni BUG kwenye hii current FIRMWARE na endapo wakiligundua wanatupia UPDATE nyingine kuFIX hicho kitu. Na swala la firmware update sio Option ya mwenye decorder bali ni automatic. Labda kama una Mnara wako mwenyewe ndio utuhakikishie hatutumii tena minara ya wachina
 
hapo kumpata mtu itakuwa ngumu, kulipia pesa hiyo yote kwa kitu ambacho wakati wowote kinakatwa, bora ungefanya kila mwezi alipe hata 10,000, hata ikija kugoma sio hasara ki vile, lakini 80,000,we uchukue chako likitokea la kutokea we haumo!!! sio rahisi, au umefanya hivyo makusudi, unajua badaye likfyatuka we haumo!! tena ungefanya ya malipo ya kila mwezi ungepata nyomi ya kufa mtu.
 
wewe acha masihara unatoa warranty ya namna gani baada ya mtu kulipa?? Hivi unajua startimes wanafanya UPDATE YA FIRMWARE za Decorder zao ? na kila UPDATE wanayotoa inaFIX bugs fulani fulani. na hata hilo unalolifanya ni BUG kwenye hii current FIRMWARE na endapo wakiligundua wanatupia UPDATE nyingine kuFIX hicho kitu. Na swala la firmware update sio Option ya mwenye decorder bali ni automatic. Labda kama una Mnara wako mwenyewe ndio utuhakikishie hatutumii tena minara ya wachina

Hata mim nilikuwa na mashaka Startimes sio Vilaza namna hiyo aiseee angesema anabadili mpk vifaa ambavyo vitakuwa vinasa mawimbi ya chanel zote za startimes kama alivyokuwa zamani kwamba ukikaa karibu na mtu wa Dstv alafu ukaelekezea dishi lako kwake unapata chanel hata kama hakuna minara karibu ingukuwa sawa kabisa hata mim ningekubali aiseee
 
wewe acha masihara unatoa warranty ya namna gani baada ya mtu kulipa?? Hivi unajua startimes wanafanya UPDATE YA FIRMWARE za Decorder zao ? na kila UPDATE wanayotoa inaFIX bugs fulani fulani. na hata hilo unalolifanya ni BUG kwenye hii current FIRMWARE na endapo wakiligundua wanatupia UPDATE nyingine kuFIX hicho kitu. Na swala la firmware update sio Option ya mwenye decorder bali ni automatic. Labda kama una Mnara wako mwenyewe ndio utuhakikishie hatutumii tena minara ya wachina

Mkuu kwani unaijua Trick yenyewe?
Kama unaijua tunaomba ushare tule vitu bure kama vipi
Kule JF Matangazo kuna mtu anauza decoder za ZUKU zikiwa na Free kuangalia miaka 3 kwa 230,000/=
Unataka kusema nae anatumia Bugs katika Firmware?

Hizi decoder kama hizi mtaani ni nyingi zaidi huyu jamaa atueleze ana connection na mtu huko majuu ambaye anazi enable juu kwa juu au ni njia ipi anatumia ku enable hicho kifurushi

tofauti na hapo ni sawa na yule jamaa anaesema anaweka channel za dstv kwenye receiver ya antenna ya startimes
 
Back
Top Bottom