Sungurawembe
JF-Expert Member
- Apr 10, 2008
- 414
- 55
Wakuu naomba kufahamishwa tatizo ni nini? Natumia King'amuzi cha AZAMTV, TBC-1 hakuna sauti ila channeli nyingine ziko vizuri kabisa.
Wakuu naomba kufahamishwa tatizo ni nini? Natumia King'amuzi cha AZAMTV, TBC-1 hakuna sauti ila channeli nyingine ziko vizuri kabisa.
mkuu bado sijafanikiwa nimepiga sijakupata hewaniUmeshafanikiwa au bado kama bado ni call 0713666725 na uwe kwny tv yako na remote sasahivi
mkuu bado sijafanikiwa nimepiga sijakupata hewani
Mkuu nimefanikiwa ahsanteNenda kwenye channel husika, then bonyeza audio,hapo kwenye track set bonyeza cha kuongeza sauti hadi usikie sauti, Fanya hivyo kisha nipe feedback