Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Nina Samsung ch@t222 GT-E2222, nimefanya master reset leo baada ya kuzima haijawaka tena, ina switch ON na OFF muda wote hadi utoe battery. Msaada nitawezaje kuiwasha tena. cc Chief-Mkwawa
0 Reactions
9 Replies
6K Views
Heshima kwa wote wana jamiiforum.Simu yangu Samsung E2222 haikubali kuonyesha Video za Youtube.Kila nikitaka kuangalia inaandika NOT SUPPORTED CONTENT. Kama simu inauwezo naomba maelekezo.Amani...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Msaada wa kiufundi, Lenovo yangu housing yake imeharibika, Je naweza pata housing nyingine kwa fundi, yeyote amjuaye fundi au sehemu ya kupata huduma hiyo anijuze
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari zenu wakuu, Natumia simu aina TECNO L6, lakini shida kubwa ninayokutana nayo ni pale ninapojaribu kuseti Launcher nyingine kama Go, TSF, Smart etc kuwa Default Launcher. Kila ninapo reboot...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Nina simu yangu VIWA MAX 5 napenda sana ni-uninstall built-in apps kwenye simu yangu maana sipeendelei ziendelee kuwemo kwani sizitumii na zinahitaji updates mara kwa mara. mfano Twitter, maps...
0 Reactions
2 Replies
832 Views
Jamani natafuta kioo cha simu ya Nokia E61i mwenye kujua vinapopatikana nimesha tafuta sana wadau. Isiwe mchina. Natanguliza shukrani
0 Reactions
9 Replies
4K Views
kioo cha tv yangu kimepasuka kama picha inavyoonyesha hapo .je nitapata wapi kioo cha tv hii, na itanigharimu sh ngapi.
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Wakuu hili tatizo limeanza kama miezi miwili iliyopita.nilikuwa nimeichomeka nasikiliza mziki kwenye sabufa.ghafla simu ikazima na nilipoiwasha nikaichomeka kwenye sabufa ikagoma kutoa mziki I...
0 Reactions
40 Replies
4K Views
Nimepatwa na msiba wa kaLumia kangu, kioo kimepasuka natafuta sehemu ninapoweza kuipeleka ikarekebishwe na pia ningependa kupata na makadirio ya gharama zake, nipo Dar Es Salaam.
0 Reactions
18 Replies
4K Views
Simu yangu imepata tatizo kwenye kioo(screen) inavuja wino kama robo tatu ya kioo kimezibwa kwa mwenye uelewa tafadhali naomba msaada nini cha kufanya
0 Reactions
1 Replies
912 Views
Habari zenu wana tech, Nilikuwa na maswali machache ambayo ningeomba ufafanuzi wake, kwanza Katika kusafirisha umeme mkubwa yani High voltage kuanzia 33 au 66KV tunaweka neutral? yani kunakuwa na...
0 Reactions
5 Replies
4K Views
Cm yangu ya blackberry huwa inakuwa ya moto sana ninapoiweka kwenye chaji, inakuwa ya moto sana na inaendelea kuwa ya moto hadi chaji iishe ndani ya dakika 10 ndo inapoa. Naombeni msada wenu wa...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wakuu vipi mimi nina samsung Gt-S7580 nikitaka kudownload games inadownload mpaka 100% then katika install inaandika could'nt install on usb or sd card so cjui tatizo linaweza likawa wapi wakuu
0 Reactions
9 Replies
934 Views
ushauri wenu kuhusu wap site yangu inayo post nyimbo unaweza kuiangalia kupitia http://.ulada.wapka.mobi
0 Reactions
0 Replies
684 Views
Msaada jamani kuna simu ya jamaa yangu tecno h6 cha ajabu icon ya app ya messege imepotea kwahiyo hata akitumiwa sms hawezi kuzisoma na wala kutuma nimemwambia ajaribu kwenda kwenye call list...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
The moon is surrounded by a permanent dust cloud likely caused by comet particle collisions, new observations reveal.Data from NASA's Lunar Atmosphere and Dust Environment Explorer (LADEE), a...
0 Reactions
0 Replies
553 Views
Natafuta hio software complete as laptop yangu imecrash na nikaformat so ningependa kupata na kuinstall it again. Tuwasiliane anayejua wapi nakoweza na naipataje? Ngamba
0 Reactions
0 Replies
842 Views
1) Nina dell c610, mwanzoni ilikuwa INA access vizuri DVD/CD na modem ilikuwa inasoma lakini naamini kuna kiumbe ame uninstall baadhi ya vitu kwa sababu CD haisomi tena wala modern haidetect...
0 Reactions
8 Replies
4K Views
Wadau naomba mnisaidie utaalam.Nina shida na passport ya ndugu yangu aliyeko mkoani na mm nipo Dar.Tutumie njia gani hapo kufanikisha zoezi hilo?
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…