kufanakupona
JF-Expert Member
- Jun 18, 2015
- 522
- 425
Mambo vipi wataalam.
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza,tafadhali niorodhesheeni steps zinazoeleweka za kuongeza speed ya kudownload iwe kubwa
ya kuridhisha kwenye computer.
Angalau nikidownload speed ya kudownload iwe atleast 500Kbps kwenda mbele.
Kutanguliza shukrani ndiyo jadi ya m-Tanzania.