Wino wa Printer HP

Wino wa Printer HP

Saint Ivuga

JF-Expert Member
Joined
Aug 21, 2008
Posts
55,024
Reaction score
59,685
Wakuu nahitaji wino nijaze kwenye printer yangu ni HP laserjetP1102
Au kama kuna mtu anajua wapi naweza kupata hii huduma tuwasiliane wakuu.
Shukrani za dhati kwenu
Nipo DSM
 
Nenda Posta town, round about ya DTV, kuna duka moja karibu na kituO cha polisi linaitwa ZamZam, hapo utapata kila kitu.
 
Back
Top Bottom