Msaada: Namna kufanya (page setting) katika publisher na Adobe indesign

Msaada: Namna kufanya (page setting) katika publisher na Adobe indesign

Mbavu mbili

JF-Expert Member
Joined
Apr 25, 2011
Posts
1,457
Reaction score
874
Wakuu,

naomba mwenye uelewa wa mahali ninapoweza kupata hizi tutorial anisaidie. Ninahitaji kutengeneza booklet nimekwama katika kipengele hicho tu. Numbering iliyo kwenye mpangilio kuanzi ukurasa wa kwanza hadi wa mwisho.

Sidhani kama niko jukwaa sahihi lakini nataraji nitapata msaada ktk hili.

Asanteni.
 
Back
Top Bottom