Kang
JF-Expert Member
- Jun 24, 2008
- 5,495
- 2,251
Android L inakuja na antitheft protection ambayo inakulazimu kuingoza Account/Password ya google iliyokuwa ikitumika kwenye simu hata ukifanya reset ya simu. So inabidi uifanye reset mbele ya anayekuuzia na kama ikileta tatizo aweke password yake kuifungua.