Msaada huawei y530

Msaada huawei y530

Kabelwa

JF-Expert Member
Joined
Mar 19, 2015
Posts
684
Reaction score
201
Habari zenu wadau naombeni msaada nina simu yangu y530 nikiizima harafu nikitaka kuiwasha yanakuja yale maandishi ya android logo yanayoanza na herufi c na hapo itaseach nahaitafunguka kabisa naombeni msaada tatizo ni nini au ndio imeshakufa nimejaribu hard reset lakini hamna mafanikio
 
Mh! Kwani haina Warranty? Kama inayo, the easiest way ni kwenda uliponunua wakubadilishie... Maana wahenga walisema dalili ya mvua...
Halafu hiyo nahisi itakuwa fake, mie juzi nimemnunulia mtu Huawei Shop pale Uhuru K/koo yenyewe ukiwasha inakuja na neno WIND, then Huawei Logo.
Something is fishy somewhere with that phone
 
Nilinunua voda shop ila walinipa lisiti na haionyeshi kama ni waranti
 
Mh! Kwani haina Warranty? Kama inayo, the easiest way ni kwenda uliponunua wakubadilishie... Maana wahenga walisema dalili ya mvua...
Halafu hiyo nahisi itakuwa fake, mie juzi nimemnunulia mtu Huawei Shop pale Uhuru K/koo yenyewe ukiwasha inakuja na neno WIND, then Huawei Logo.
Something is fishy somewhere with that phone

Wind Ni mtandao WA simu WA ugiriki inamaana simu yako watu waliinunua ikiwa locked ugiriki then wakaitoa lock na Kisha ukauziwa wewe
 
Back
Top Bottom