Msaada wa sim clonning

Msaada wa sim clonning

wakuu naomba msaada wa namna ya kufanya sim card clonning nawasilisha CHIEF MKWAWA snipa

Ilikuwa zamani mkuu, siku hizi sim card zina security ya ajabu.
Network provider wanavyo identify card number huwa wana authenticate Ki numbers zilizo kwenye laini, na wewe kuzi identify ili ufanye cloning ya laini nyingine sio kazi rahisi.
Tutadanganyana hapa.
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom