Sahir Punzy
Member
- Jan 13, 2015
- 86
- 55
Samsung gt-s6102 imegoma kurudi 2.3 gingerbread kwa kutumia odin. Nilifanikiwa kuifanyia rooting na nikapachika 4.4 kitkat ila ile rom sijaipenda nikaona bora nirudishe rom ya kwake sasa imegoma kuwaka inawaka kwenye samsung logo then inajirudiaa nilijaribu kufuta cache na kurudia ku install tena but wapi. ikifika sehemu ya pass inataka kujiristart then inakaa recovery mod