nimekwama msaada jaman

nimekwama msaada jaman

Ok9

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2013
Posts
4,554
Reaction score
4,171
nine weka twpr kwenye sim...baadae nikaweka 12 ikawa inasoma lolipop android v 5.0.2 lkn sikuweka gapps....ikawaka lkn haikuwa Na Google apps nikaanza kudownload gapps 5.0.1 kuweka ilagoma...... nikaamua ni restore factory ndo hapo ikaanza kuwaka lkn haijamaliza had sasa....lkn ktk yote hayo sijatumia computer.
nifanyeje?
 
Jaribu kujieleza kwa kiswahili mkuu.
 
cha kuanzia hapo ni kurudi twrp jaribu kuformat cache kwanza. ikikataa huwenda hizo gapps zilikuwa na matatizo rudi stock halafu anza upya. then hujasema ni simu gani
 
nashkuru sana kwa msaada...
no galaxy grand duos i9082.
inawaka had kwenye logo ya Samsun....inaenda tena kwenye logo ya twpr Na kurud tena....sijui hapo Niki flash lwa Odin itakuwaje
 
kurudi stock ndio kuflash kwa odin, itarudi mwanzo kama ulivyoinunua, inachotakiwa hapo ni kutafuta rom ya simu yako,
 
umefanya kienyeji sana...anza kuwipe cache then reboot ...ikigoma tena basi weka ROM nyingine au rudisha stock ROM then uanze upya tena.
 
hapo sawa..Na rpm nliyoweka ni unofficial.
official hakuna
 
umefanya kienyeji sana...anza kuwipe cache then reboot ...ikigoma tena basi weka ROM nyingine au rudisha stock ROM then uanze upya tena.

kuflash ndo kinacho wezekana naona maana inawaka kwenye downloading mode tu.... hapo kurudisha stock ROM ninahitaj Odin 3 Na nn?
 
Back
Top Bottom