Clear data

Ochumeraa

JF-Expert Member
May 18, 2015
4,504
5,707
Ninapo clear data ya apps niliyostall kwenye android kuna umuhimu/hasara gani naomba kufaham kwa anajejua
 
unapotumia app au game kuna data unakuwa unaipa ile app. mfano unapo login facebook basi pale umeipa username na password ile app, hii username na password ndio data. utakapo clear data inamaana ile username na password (data ulioeka) itapotea, ukiingia tena facebook itabidi uanze kulogin upya.

so unapo clear data au cache ni kama una reset hio app ili iwe kama ulivyodownload mwanzo kwa kufuta vitu vilivyoongezeka.

faida yake inaweza kurudisha app iliokuwa inafanya kazi vibaya ifanye kazi vizuri tena

hasara yake unaweza poteza vitu vyote vya hio apps ulivyovihangaikia, mfano kama ulikuwa unacheza game upo level ya 30 basi game linaweza kureset likakutaka uanze upya.
 
.

Hakuna maelezo zaidi ya aliyotoa Chief-Mkwawa

Hapo kwenye red sio kweli.
kuclear cache hakuwezi irudisha app kama ilivyokuwa mwanzo,
labda Data, mana ndiyo database nzima ya application.
 
Last edited by a moderator:
.

Hapo kwenye red sio kweli.
kuclear cache hakuwezi irudisha app kama ilivyokuwa mwanzo,
labda Data, mana ndiyo database nzima ya application.

Yupo sawa tu lkn ukiondoa hiyo sentens clear cache aweke ku clear data ndio hufanya hivyo. Manna hoja ya mtoa mada ni ku clear data
 
.

Hapo kwenye red sio kweli.
kuclear cache hakuwezi irudisha app kama ilivyokuwa mwanzo,
labda Data, mana ndiyo database nzima ya application.

kwani ni nini maana ya cache?

In computing, a cache is a component that stores data so future requests for that data can be served faster; the data stored in a cache might be the results of an earlier computation, or the duplicates of data stored elsewhere

chukulia mfano ume install app then ukaicustomize background iwe red, header white nk then hizo preference zako zinaweza kukaa kwenye cache ili baadae ukiingia tena usicustomize upya bali uikute vile vile kama ulivyo customize mwanzo. je nikifuta cache ile app itaendelea kuwa na preference zangu za background red au itaanza kama mwanzo?
 
Kaka nilichopinga ni wewe kusema app kuwa kama ulivyoidownload mwanzo, swala lacustomization linaingia sahizi, ambalo sijaligusia kabisa.
Ila nnashukuru umenielewa.
 
kwani ni nini maana ya cache?

In computing, a cache is a component that stores data so future requests for that data can be served faster; the data stored in a cache might be the results of an earlier computation, or the duplicates of data stored elsewhere

chukulia mfano ume install app then ukaicustomize background iwe red, header white nk then hizo preference zako zinaweza kukaa kwenye cache ili baadae ukiingia tena usicustomize upya bali uikute vile vile kama ulivyo customize mwanzo. je nikifuta cache ile app itaendelea kuwa na preference zangu za background red au itaanza kama mwanzo?

Cache inatunza Frequently accessed Data, nnachojua mimi Customization ya App inaondoka pale tu unapo_Clear Data, na Sio unapo_Clear Cache...Sababu Customization inakaa kwenye App database na sio kwenye Cache.
 
Upo sahihi kabisa mkuu, Chief anavyozidi uelezea ndivyo anavyopotea zaidi.

Tuchukulie tu mfano ea browser kama Mozilla, ukifungua page flani yenyewe inahifadhi zile web contents ktk mfumo wa cache ili baadae utakapofungua ile page itatoa data kama vile images kutoka kwenye stored cache na sio eti ianze kuload ile page tena kwakutumia bundle lako.

Kazi kubwa ya cache nikuimprove performance,
Mtu atakaposet preference zake kwenye mozilla pale anakuwa anatengeneza database yake na wala sio Cache kama anavyotuambia chief.

Ifike mahala tukubaliane na ukweli.
Customize settings za app yako utakavyo afu kafute cache uone kama zitachange.
 
mfano wa cache inaweza inaweza kustore vitu kama logo ya kwenye header(isiload tena internet bali ibaki kwenye storage yako ya simu) je unapoifuta ile cache si inamaana app/web app itarudi kama mwanzo kuload logo? nipo sahihi au nipo wrong
 
huyu ni developer yupo dilema atumie cache au data kustore data zake (kitu kimoja kinaweza fanywa kote kwenye data na cache), so kama kina kinachofanywa kwenye android data kinafanyika kwenye cache pia why mtu akifuta cache app yake isiathirike kwa kureset vitu?

android - Cache vs Data storage for downloaded content - Stack Overflow

conclusion yake akaamua atumie cache

na mkubuke app data ile tunayoweza kuifuta nayo ni temporary kama cache, real app data ambazo ni permanent zinakaa sdcard/android/obb au sdcard/android/data ambapo ukifuta zile data wala haziathiriki
 
huyu ni developer yupo dilema atumie cache au data kustore data zake
android - Cache vs Data storage for downloaded content - Stack Overflow
conclusion yake akaamua atumie cache
-Kaka cache ni sehemu ambapo files zinakuwa stored temporary, tofauti na FileDirectory , msome mwemyewe developer wako huyo alichokisema.

developer said:
‘I'm downloading some text data by issuing a HTTP GET request to server.
I want to save downloaded text file to re-use it on request if it has already been downloaded. But I want to keep my data private, so that no other apps could access it. On the other hand, it would be OK if Android removed that files if there's not enough disk space.’’

Yeye alichotaka hizo requested data zake ziwe zinajifuta kama space ikiwa haitoshi, ndomana akaona atumie cache.
Kaka cache huwa zinajifuta kwasabu sio kama ilivyo app data.,

-Kwanini settings hazikai ktk cache kama unavyodai ?
Kwasabu cache huwa inajifuta yenyewe pale endapo space itaonekana kujaa, hivyo basi hatuwezi kustore settings pamoja na accounts database ktk cache kwasabu zitakuwa zinataka to login kila muda maana zingekuwa zinajifuta tu.
Kuna cache algorithm ambayo inaelezea jinsi gani cache zinakuwa zinajifuta.

-Kwamfano Kama umetembelea link flani.
Zile cache za ile link zitaanza kukaa juu, utakapofungua link nyingine zitashuka chini nakufuatiwa na cached data za link hiyo mpya.
Baadae kama ile link hutaitembelea tena basi zile cache zitajifuta kabisa
Hizo ni proxy cache, ambazo tunazipata ktk browser zetu.
Na kuna aina kama nne za cache if sijaforget
-PROXY CACHE – hzi ndo zile cache za browser.
-CACHE MEMORY - hizi ni zile za RAM.
-DISK CACHE – hizi zinausisha apps.
-FLASH CACHE - ambazo zinawork sana kwenye hizi SSD ili ziweze kumaintain speed yake ile.

(kitu kimoja kinaweza fanywa kote kwenye data na cache), so kama kina kinachofanywa kwenye android data kinafanyika kwenye cache pia why mtu akifuta cache app yake isiathirike kwa kureset vitu?

-Kinachofanyika kwenye android data kingekuwa kinafanyika kwenye cache ndo kila siku tungekuwa tunahangaika na social apps zetu kujaza login details mpya.
Cache zinajifuta zenyewe.

na mkubuke app data ile tunayoweza kuifuta nayo ni temporary kama cache, real app data ambazo ni permanent zinakaa sdcard/android/obb au sdcard/android/data ambapo ukifuta zile data wala haziathiriki
Ni temporary kwasabu unaezafuta wewe mwenyewe manually nakueka data zako nyingine,
Kaka we najua unatumia WhatsApp, ulishawahi ona siku whatsapp inakuopt ufanye registration tena ?,
CACHE ni temporary na zinaweza kujifuta, ila sio App Data ambazo zinainclude accounts au settings mbali mbali, ingekuwa ni hivyo basi kila siku tungekuwa tunaeka namba kwenye whatsapp.
mfano wa cache inaweza inaweza kustore vitu kama logo ya kwenye header(isiload tena internet bali ibaki kwenye storage yako ya simu) je unapoifuta ile cache si inamaana app/web app itarudi kama mwanzo kuload logo? nipo sahihi au nipo wrong

Kumbe unaelewa vizuri tu, nimeona hapo kwenye red.
Itarudi kama mwanzo kusoma logo ila sio itarudi mwanzo kama ulivyoidownload, kama ulivyokuwa ukimaanisha pale juu.

''A wise man is the one who retire before he's going down.''
 
-Kaka cache ni sehemu ambapo files zinakuwa stored temporary, tofauti na FileDirectory , msome mwemyewe developer wako huyo alichokisema.

Yeye alichotaka hizo requested data zake ziwe zinajifuta kama space ikiwa haitoshi, ndomana akaona atumie cache.
Kaka cache huwa zinajifuta kwasabu sio kama ilivyo app data.,

-Kwanini settings hazikai ktk cache kama unavyodai ?
Kwasabu cache huwa inajifuta yenyewe pale endapo space itaonekana kujaa, hivyo basi hatuwezi kustore settings pamoja na accounts database ktk cache kwasabu zitakuwa zinataka to login kila muda maana zingekuwa zinajifuta tu.
Kuna cache algorithm ambayo inaelezea jinsi gani cache zinakuwa zinajifuta.

-Kwamfano Kama umetembelea link flani.
Zile cache za ile link zitaanza kukaa juu, utakapofungua link nyingine zitashuka chini nakufuatiwa na cached data za link hiyo mpya.
Baadae kama ile link hutaitembelea tena basi zile cache zitajifuta kabisa
Hizo ni proxy cache, ambazo tunazipata ktk browser zetu.
Na kuna aina kama nne za cache if sijaforget
-PROXY CACHE – hzi ndo zile cache za browser.
-CACHE MEMORY - hizi ni zile za RAM.
-DISK CACHE – hizi zinausisha apps.
-FLASH CACHE - ambazo zinawork sana kwenye hizi SSD ili ziweze kumaintain speed yake ile.

-Kinachofanyika kwenye android data kingekuwa kinafanyika kwenye cache ndo kila siku tungekuwa tunahangaika na social apps zetu kujaza login details mpya.
Cache zinajifuta zenyewe.

Ni temporary kwasabu unaezafuta wewe mwenyewe manually nakueka data zako nyingine,
Kaka we najua unatumia WhatsApp, ulishawahi ona siku whatsapp inakuopt ufanye registration tena ?,
CACHE ni temporary na zinaweza kujifuta, ila sio App Data ambazo zinainclude accounts au settings mbali mbali, ingekuwa ni hivyo basi kila siku tungekuwa tunaeka namba kwenye whatsapp.

Kumbe unaelewa vizuri tu, nimeona hapo kwenye red.
Itarudi kama mwanzo kusoma logo ila sio itarudi mwanzo kama ulivyoidownload, kama ulivyokuwa ukimaanisha pale juu.

''A wise man is the one who retire before he's going down.''

naomba unijibu hapa hii ndio latest post

huu hapa ni ushahidi zaidi hasa hasa kwenye games watu wanapolizwa wakifuta cache na saved games zinapotea

ushahidi wa 1

Game save on flash cache !!! discussion on Kongregate

ushahidi wa pili
https://steamcommunity.com/app/224920/discussions/0/792923684133178602

sasa kama kuna games zinasave data kwenye cache then ukifuta cache si unaanza upya? nipo sahihi au nipo wrong?

au hawa jamaa hawajui cache ni nini walichofuta sio cache
 
naomba unijibu hapa hii ndio latest post

au hawa jamaa hawajui cache ni nini walichofuta sio cache

Last post na mimi.

Hao jamaa watakua hawaelewi maana ya Flash cache ya hizi steam games,
Game kama hizo huwa ni Flash projector na wala sio installed game zakawaida, kwahiyo ni lazma zisave files ktk system flash cache, kwahiyo zinakuwa kama vile unayobrowse tu page flani kwenye browser.

Flash cache zinakuwa located kwenye AppData ya macromedia flash player na sio kama standalone kwahiyo wanapofuta flash cache wanakua wamevuruga kabisa appdata ya Macromedia
Angalia mfano wa game hili la vvvvv

% APPDATA%\Macromedia\Flash Player\# SharedObjects\<random characters>\localhost\path \to\steam\steamapps\common\vvvvvv \vvvvvv.exe.

na ukisoma Readme.txt ya hili game inasema hivi

"VVVVVV is a flash projector, so it saves your game in your system's flash cache.
Warning: if you clear your flash cache with a tool like CCleaner, it may delete your saved games"

Kwa maelezo kuhusu flash projector pitia hapa Difference Between Flash Player and Flash Projector
 
hahaha flash cache ya steam games ndio nini? hizi ni link mbili tofauti moja ya flash nyengine ya steam.

kama hujui steam ni nini, hio ndio store kubwa ya games duniani kuanzia za pc hadi mac linux nk sasa mtu analalamika kwenye forum ya steam amefuta cache na save game yake imepotea.

game linaitwa legacy of kain soul reaver ni port ya playstation
header.jpg

si game la flash hili.
 
Back
Top Bottom